emblem

Bodi ya Filamu Tanzania

Tanzania: Mandhari nzuri kwa Utayarishaji wa Filamu

Maktaba ya Picha

  • Kikao cha kujadili Mapendekezo ya Wadau wa Filamu, Menejimenti na Wajumbe wa Bodi ya Filamu

    Kujadili namna sahihi ya ushiriki katika Sekta hiyo pindi itakapo rejea

    Imewekwa : June, 13, 2020

  • Jamafest 2019

    Tamasha la nne la Utamaduni la nchi wanachama wa Afrika Mashariki (JAMAFEST) lililofanyika nchini Tanzania kwenye viwanja vya Uwanja wa Taifa Septemba 2019.

    Imewekwa : April, 02, 2020

  • Jukwaa la Wasambazaji na Wazalishaji Maudhui

    Jukwaa la wasambazaji na wazalishaji maudhui (BDF), lililofanyika septemba 2019 katika ukumbi wa Nkuruma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

    Imewekwa : April, 02, 2020